WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya CHICCO kutoka China inayojenga barabara ya Mbinga – Mbamba bay  kwa kiwango cha lami, yenye urefu wa Kilomita 66 wakati alipokagua ujenzi wa barabara hiyo, Januari  4, 2019. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Ruvuma,  Christina Mndeme.
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Ruvuma na wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya CHICCO kutoka China inayojenga barabara ya Mbinga – Mbamba bay yenye urefu wa Kilomita 66 wakati alipokagua ujenzi wa barabara hiyo, Januari 4, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi  wakati alipokagua ujenzi wa barabara ya Mbinga – Mbamba bay kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Kilomita 66 unaofanywa na Kampuni  kutoka China ya CHICCO, Januari 5, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo la Mbinga, John Ndimbo wakati alipowasili kwenye kijiji cha Nyoni wilayani Mbinga kuhutubia mkutano wa hadhara Januari 4, 2019. Kulia ni Sheikh wa wilaya ya Mbinga, Said Majid.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mbunge wa Nyasa na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya wakati alipokagua ujenzi wa barabara ya Mbinga- Mbamba bay kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Kilomita 66, Januari 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akagua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA - MBAMBA BAY"

Post a Comment