WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME

WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME
kiungo : WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME

soma pia


WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua jengo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia, iliyopo Mbweni Wilayani Magharibi “B” - Unguja Januari 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi wa jengo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia, iliyopo Mbweni Wilayani Magharibi “B” - Unguja Januari 8, 2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kitabu kwenye maktaba ya jengo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia, iliyopo Mbweni Wilayani Magharibi “B” – Unguja baada ya kufungua jengo hilo Januari 8, 2019. 
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mfumo wa umeme uliyebuniwa na mwanafunzi Abdulhamid Marijani, baada ya kufungua jengo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia, iliyopo Mbweni Wilayani Magharibi “B” - Unguja Januari 8, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa kitengo cha kompyuta Safaa Haroub, baada ya kuweka jiwe la msingi wa jengo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia, iliyopo Mbweni Wilayani Magharibi “B” - Unguja Januari 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME

yaani makala yote WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-azindua-jengo-taasisi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO TAASISI YA KARUME"

Post a Comment