title : WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA LUYEHELA
kiungo : WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA LUYEHELA
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA LUYEHELA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la maji wakati alipoweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Luyehe katika kijiji cha Muungano Zomba kwenye jimbo la Peramiho wilayani Songea, Januari 3, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda juu tangi la Maji ili kujiridhisha kuhusu ubora wake wakati alipoweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Luyehela katika kijiji cha Muungano Zomba kwenye jimbo la Peramiho wilayani Songea, Januari 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA LUYEHELA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA LUYEHELA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA LUYEHELA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-aweka-jiwe-la-msingi-la.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA LUYEHELA"
Post a Comment