title : WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA
kiungo : WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA
WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Mkuu wa wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Mkunda ambaye anamuuguza mwanae, Tunu Kikula aliyelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya madaktari na wauguzi wa Kitengo cha Kusafisha Damu katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma wakati alipowajulia hali wagonjwa hospitalini hapo, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-amjulia-hali-mbunge-wa.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA"
Post a Comment