WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI

WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI
kiungo : WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI

soma pia


WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Stella wakichangia mada wakati wa hafla ya kutimiza miaka 20 ya Shirika la FEMA jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Stella wakichangia mada wakati wa hafla ya kutimiza miaka 20 ya Shirika la FEMA jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy pamoja na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la FEMA Sauda Simba Kilumanga akiangalia bidhaa za jarida la FEMA wakati wa hafla ya kutimiza miaka 20 ya Shirika la FEMA jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy pamoja na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la FEMA Sauda Simba Kilumanga wakiingia ukumbini tayari kuanza ya kutimiza miaka 20 ya Shirika la FEMA jana jijini Dar es Salaam. 


Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewataka walimu wa kuu wa Shule za Sekondari Nchini kushirikiana na Shirika la FEMA Hip kuanzisha club za vijana katika shule zao ili kutoa fursa za vijana mashuleni kupata elimu ya Afya ya uzazi na kujitambua.

Waziri Ummy amesema hayo wakati wa maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa shirika hilo ambalo kwasasa lina uwezo wa kuwafikia vijana 15,000 kila mwezi na kuwalimisha masuala mbalimbali ya kiafya ikiwemo kujikinga na maabukizi ya ukimwi.

Aidha Waziri Ummy aliongeza kuwa yeye amekuwa mdau mkubwa katika kuhakikisha vijana Nchini wanapata elimu ya uzazi nchini ikiwezekana hata mtoto wa darasa la tano na kuwafanya kutambua angalau kulinda mwili wao kwani siku hizi watoto wanapevuka katika umri mdogo.

Aliongeza kuwa mwelekeo wa Serikali ni kuwa na uchumi wakati lakini hatuwezi kufikia hapo kama bado kati ya wasichana 100 wasichana 27 wanapata mimba katika umri mdogo hivyo kuwa na mzunguko wa umasikini usio kwisha.Aliwapongeza FEMA kwa kuanza kupunguza masuala ya elimu ya Afya na uzazi nakuanza kujielekeza katika masuala ya uwezeshaji wa wa vijana kiuchumi kwani kama utampatia elimu bila kuwawezesha kiuchumi matatizo yao yanabaki palepale.

Amelitaka shirika hilo kuanzisha pia masuala ya elimu ya lishe kwa kuwa Tanzania kwasasa inakabiliwa na tatizo la udumavu ambapo kila watoto 100 watoto 34 wenye umri chini ya miaka 5 wamedumaa.

Shirika la FEMA limitimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake na limekuwa likijihusisha na utoaji na uhamasishaji vijana kujikinga na ukimwi, kuwapa matumaini wa wathirika wa ugonjwa wa ukimwi, kutoa elimu ya Afya uzazi kwa vijana, kuwawezesha vijana kubuni namna bora za kujiwezesha kiuchumi kupitia club za FEMA Hip mashuleni lakini pia kwa kupitia vyombo vya habari.


Hivyo makala WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI

yaani makala yote WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-awataka-walimu-wakuu-kutoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU KUTOA USHIRIKIANO KUANZISHA CLUB ZA VIJANA MASHULENI"

Post a Comment