WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI

WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI
kiungo : WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI

soma pia


WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI

WADAU wa sekta ya ufugaji nyuki na uzalishaji wa asali na mazao yake wametakiwa kutumia uwepo wa utajiri wa mistu hapa nchini kuhakikisha wanazalisha asali kwa ubora na wingi kwa ajili ya masoko ya ndani na nje ya nchi. 

Hatua hiyo itasaidia kuongeza nafasi za ajira kwa wananchi na kuingizia nchi fedha za kigeni zinazotokana na mauzo ya asali nje ya Nchi.

Kauli hiyo imetolewa jana mjini Tabora na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Profesa Adolf Mkenda wakati wa kufungua kongamano la siku mbili la wadau wa ufugaji nyuki na uzalishaji wa asali lililolenga uanzishaji wa viwanda vya kusindika na kuchakata asali na mazao yake. Alisema licha kuwa na mistu mikubwa hapa nchini bado uzalishaji wa asali uko chini ukilinganisha na baadhi ya Nchi ambazo zina mistu michache barani Afrika.

Profesa Mkenda alisema wakati umefika kwa wadau kuhakikisha wanakuja na mikakati itakayoongeza uzalishaji wa asali hapa nchini na kuwawezesha wakazi wa kando kando ya mistu nchini kunufaika na uwepo wake kwa kuongeza kipato chao kupitia ufugaji nyuki na uzalishaji asali. Alisema lengo ni kutaka asali iwe sawa na dhahabu nyingine inayoliingizia Taifa fedha za kigeni zinazotokana na mauzo nje ya nchi kwa kuwa soko la asali ya Tanzania ni kubwa ndani na nje ya bara la Afrika.

Aidha Katibu Mkuu huyo alisema ili kuhakikisha makazi ya nyuki hayaharibiwi Serikali kwa kushirikiana na wadau wa mistu wameanza kuedesha zoezi la kuwaondoa watu wote wanaondesha shughuli za kiuchumi katika maeneo ya mistu. Katika hatua nyingine Profesa Mkenda aliwaka wadau hao kuacha kulalamika kuwa uhaba wa asali unasababishwa na wanunuzi toka nje ya nchi wanaokwenda moja kwa moja kwa wafugaji wa nyuki na kununua bidhaa hizo kwa bei ya shilingi elfu 40,000/- kwa lita 20 wakati wao wananua kwa shilingi 120,000/- na kuwataka nao waende kwa wafugaji.
Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu akitoa salamu za mkoa huo jana wakati wa kongamano la siku mbili linalojadili mikakati mbalimbali ya kuongeza uzalishaji wa asali na uanzishaji wa viwanda vya kuchakata na kusindika asali nchini. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasaili na Utalii Profesa Adolf Mkenda akifungua jana kongamano la siku mbili linalojadili mikakati mbalimbali ya kuongeza uzalishaji wa asali na uanzishaji wa viwanda vya kuchakata na kusindika asali nchini. 



Baadhi ya wadau wa ufugaji nyuki wakiwa katika kongamano la siku mbili linalojadili mikakati mbalimbali ya kuongeza uzalishaji wa asali na uanzishaji wa viwanda vya kuchakata na kusindika asali nchini. 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasaili na Utalii Profesa Adolf  Mkenda(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa ufugaji nyuki jana mara baada ya kufungua kongamano la siku mbili linalojadili mikakati mbalimbali ya kuongeza uzalishaji wa asali na uanzishaji wa viwanda vya kuchakata na kusindika asali nchini. 



Hivyo makala WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI

yaani makala yote WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/wadau-wa-nyuki-watakiwa-kutumia-mistu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WADAU WA NYUKI WATAKIWA KUTUMIA MISTU ILIYOPO KUONGEZA UZALISHAJI WA ASALI NA MAZAO YAKE NCHINI"

Post a Comment