JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI

JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI
kiungo : JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI

soma pia


JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amewapongeza Viongozi, watendaji, na wananchi wa wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo. Waziri Jafo amefurahishwa Sana na ujenzi wa vituo vya afya vya Kagezi Mabamba kwani ujenzi wake umekuwa mzuri Sana unaoendana na thamani ya fedha iliyo tolewa na serikali.

Katika ziara hiyo waziri Jafo alimpongeza Sana mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Eng. Nditiye kwani amekuwa akiwahangaikia Sana wananchi wake katika upatikanaji wa miradi hiyo ya maendeleo.

Aidha, Waziri Jafo alimalizia ziara yake kwa kukagua miradi ya barabara ya Kibondo mjini pamoja na kutembelea shule ya sekondari Malagarasi ambapo ukarabati na ujezi wa miundombinu umefanyika shuleni hapo kwa gharama ya shilingi milioni 400.

Waziri Jafo akikagua barabara za changarawe zilizojengwa na TARURA Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Malagarasi wakimskiliza Waziri Jafo(hayupo pichani) alipowatembelea shuleni hapo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo(katikati) akisomewa taarifa wakati alipotembelea Kituo cha Afya Kibamba kilichopo Kibondo Mkoani Kigoma.


Hivyo makala JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI

yaani makala yote JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/jafo-awapongeza-kibondo-kwa-usimamizi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JAFO AWAPONGEZA KIBONDO KWA USIMAMIZI WA MIRADI"

Post a Comment