VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI

VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI
kiungo : VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI

soma pia


VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI





Na. Vero Ignatus,Arusha


Vijana nchini Tanzania wametakiwa kuwa wabunifu kwa kubuni bidhaa zinazoweza kuhimili ushindani katika soko la pamoja la Afrika Mashariki ili waweze kunufaika na fursa za uwepo wa soko hilo pamoja na kuboresha maisha yao.


Hayo yanesemwa na Wawakilishi wa vijana kutoka Majukwaa ya vijana Wilaya ya Arusha katika Mafunzo ya Ujasiriamali yanayolenga kukuza ubunifu na uwezo wa vijana kutumia fursa za kimasoko kujikwamua kiuchumi .

Farida Charles na Denis George walisema kuwa ,vijana wengi wamekuwa wakijitahidi kubuni bidhaa zao lakini changamoto kubwa bado ipo katika ubora wa hizo bidhaa katika kushindana na soko la Afrika Mashariki.

Kutokana na changamoto hiyo vijana hao kwa pamoja walijiwekea mikakati ya kuhakikisha kuwa bidhaa zote wanazozalisha ni lazima ziendane na soko la Eac ili kuweza kunufaika na fursa mbalimbali zilizopo na kupata masoko zaidi.

Mratibu wa shirika la Vijana la Initiative for Youth ,Laurent Sabuni alisema kuwa, vijana wa kitanzania hawapaswi kuwa nyuma katika soko la pamoja la Afrika Mashariki kwani wanapaswa kuungana na kufanya biashara kwa kuvuka mipaka ya nchi na kuzalisha bidhaa bora zinazokidhi viwango vya kitaifa na kimataifa.

Sabuni alisema kuwa, kumekuwepo na fursa nyingi Sana katika soko la jumuiya ya Afrika mashariki ambazo vijana wanatakiwa kuzichangamkia na kuondokana na dhana ya kulia ukosefu wa ajira, badala yake wajikite katika kuzalisha bidhaa zitakazoendana na soko hilo.

Afisa Vijana Wilaya ya Arusha, Nimfa Ramadhani alisema kuwa ,Tanzania inaelekea kwenye uchumi wa viwanda, hivyo vijana wana fursa ya kutengeneza bidhaa za viwandani na kuanzisha viwanda vidogo vidogo ili waweze kuendana na kasi ya ujenzi wa viwanda iliyopo.


Hivyo makala VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI

yaani makala yote VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/vijana-watakiwa-kuwa-wabunifu-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA BIDHAA ZAO ILI KUKIDHI USHINDANI"

Post a Comment