title : Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Shehia ya Wilaya ya Wete Pemba Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
kiungo : Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Shehia ya Wilaya ya Wete Pemba Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Shehia ya Wilaya ya Wete Pemba Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Gavu, akikunjua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa umeme katika shehia ya Maziwani Wilaya ya Wete, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais na Mwenyekiti wa baraza la Mpainduzi Issa Haji Gavu, akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa mradi wa umeme katika shehia ya Maziwani Wilaya ya Wete, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanziba
WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais na Mwenyekiti wa baraza la Mpainduzi Issa Haji Gavu, akizungumz ana wananchi wa maziwani Wilaya ya Wete mara baada ya kuzindua mradi wa umeme, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Shehia ya Wilaya ya Wete Pemba Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
yaani makala yote Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Shehia ya Wilaya ya Wete Pemba Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Shehia ya Wilaya ya Wete Pemba Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/uzinduzi-wa-mradi-wa-umeme-shehia-ya.html
0 Response to "Uzinduzi wa Mradi wa Umeme Shehia ya Wilaya ya Wete Pemba Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar."
Post a Comment