title : RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM
RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali.Januari 2 ,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali.Januari 2 ,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Amne Salim (Mke wa Dkt.Salim) ya kumuombea Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim, walipomtembelea ili kumjulia hali Jijini Dar es Salaam. Januari 2 ,2019
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-magufuli-na-mkewe-janeth.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM"
Post a Comment