UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO

UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO
kiungo : UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO

soma pia


UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO


Na Ripota Wetu

UMOJA wa Afrika umetoa mwito wa kuaihirisha kwa muda wa kutangaza matokeo rasmi ya uchaguzi wa Rais unaozusha mabishano katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kwa sababu ya "shaka shaka kubwa ."

Imeelezwa kuwa Wawakilishi wa Umoja wa Afrika wamekutana leo Januari 18,2019 Mjini Addis Ababa na kisha wakakubaliana kutuma ujumbe wa ngazi ya juu mjini Kinshasa kwa lengo la kusaka njia za kuupatia ufumbuzi mzozo 
wa kisiasa.

Viongozi wa Taifa na Serikali wanaohudhuria mkutano huo wamekiri kuwa kuna mashaka makubwa hasa kuhusu ulinganifu wa matokeo ya awali kama yalivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi (CENI) na yale ya kura zilizopigwa.

Umoja wa Afrika umesema katika taarifa yake. "Ingawa hali ni tulivu hadi sasa, lakini wasi wasi umetanda pia, amesema mwenyejkiti wa Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat mbele ya viongozi wakiwemo pia wale wa Afrika 

Kusini, Zambia, na Jamhuri ya Congo waliokutana kuzungumzia matokeo yanayobishwa ya uchaguzi katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo. Serikali mjini Kinshasa imeukosoa wito wa Umoja wa Afrika na kusema korti ya nchi hiyo ni huru. Korti ya Katiba inasikiliza malalamiko ya Martin Fayulu dhidi ya matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais.

CHANZO -DW 


Hivyo makala UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO

yaani makala yote UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/umoja-wa-afrika-sasa-watoa-neno-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UMOJA WA AFRIKA SASA WATOA NENO KUHUSU MATOKEO UCHAGUZI WA RAIS JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO"

Post a Comment