title : UHAMIAJI YAWAFUKUZA NCHINI RAIA WA KIGENI 26
kiungo : UHAMIAJI YAWAFUKUZA NCHINI RAIA WA KIGENI 26
UHAMIAJI YAWAFUKUZA NCHINI RAIA WA KIGENI 26
Idara Ya Uhamiaji Mkoa Wa Tabora imewafukuza Nchini Raia wa Kigeni 26 Kati ya Watuhumiwa 58 Waliokamatwa Katika Msako Maalumu Uliofanywa na Idara hiyo katika Maeneo mbalimbali Mkoani humo, kwa madai ya Kukiuka Sheria za Uhamiaji ikiwemo Kuingia na Kuishi Nchini Pasipokuwa Na Kibali Maalum.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake Mrakibu Mwandamizi wa Idara ya Uhamiaji ambaye pia pi Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa Wa Tabora Amiru Sadik amesema Raia hao wa Kigeni waliofukuzwa ni kutoka katika Nchi za Kongo,Burundi Na Kenya.Habari picha na Amisa
Hivyo makala UHAMIAJI YAWAFUKUZA NCHINI RAIA WA KIGENI 26
yaani makala yote UHAMIAJI YAWAFUKUZA NCHINI RAIA WA KIGENI 26 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UHAMIAJI YAWAFUKUZA NCHINI RAIA WA KIGENI 26 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/uhamiaji-yawafukuza-nchini-raia-wa.html
0 Response to "UHAMIAJI YAWAFUKUZA NCHINI RAIA WA KIGENI 26"
Post a Comment