Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja

Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja
kiungo : Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja

soma pia


Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja

 Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja iliyofunguliwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar.

 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akiwa pamoja na Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso zawadi ya Cheti maalum katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Mshirika wa Maendeleo Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso akitoa hotuba kuhusiana na namna alivyosaidia kumaliza kwa Nyumba ya Walimu katika Ufunguzi wa Nyumba hio Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya ufunguzi wa Nyumba ya Walimu katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NAYUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja

yaani makala yote Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ufunguzi-wa-nyumba-ya-walimu-wa-skuli.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu wa Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja"

Post a Comment