title : Ufunguzi wa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Shumba Viamboni Micheweni Pemba,
kiungo : Ufunguzi wa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Shumba Viamboni Micheweni Pemba,
Ufunguzi wa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Shumba Viamboni Micheweni Pemba,
Waziri asie kuwa na Wizara maalumu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Juma Ali Khatib, akifunguwa pazia kuashiria kukizinduwa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Shumba ya Vyamboni Wilaya ya Micheweni Pemba, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri asiekuwa na Wizara maalumu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Juma Ali Khatib, akikata utepe kwa ajili ya ufunguzi wa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Sshumba ya Viamboni Micheweni Pemba, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar, Halima Maulid, akimpatia maelezo Waziri asie kuwa na Wizara maalumu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Juma Ali Khatib , juu ya Vifaa vilivyomo ndani ya kituo hicho cha huduma za mama ma mtoto kilichopo Shumba ya Viamboni na matumizi yake baada ya kukifungua rasmi ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.
Baadhi ya Vifaa vilivyomo katika kituo hicho cha huduma za mama na mtoto , huko Shumba Viamboni Wilaya ya Micheweni Pemba .
Baadhi ya Vifaa vilivyomo katika kituo hicho cha huduma za mama na mtoto, huko Shumba Viamboni Wilaya ya Micheweni Pemba .
Baadhi ya Vifaa vilivyomo katika kituo hicho cha huduma za mama na mtoto , huko Shumba Viamboni Wilaya ya Micheweni Pemba .
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
Hivyo makala Ufunguzi wa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Shumba Viamboni Micheweni Pemba,
yaani makala yote Ufunguzi wa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Shumba Viamboni Micheweni Pemba, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ufunguzi wa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Shumba Viamboni Micheweni Pemba, mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ufunguzi-wa-kituo-cha-huduma-za-mama-na.html
0 Response to "Ufunguzi wa kituo cha huduma za mama na Mtoto huko Shumba Viamboni Micheweni Pemba,"
Post a Comment