Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva

Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva
kiungo : Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva

soma pia


Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva

 Image result for picha za anna henga lhrc

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la askari wa Jeshi la Polisi kutumia nguvu kupita kiasi kupambana na raia.

Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Januari 14, 2019 na kituo hicho na kusainiwa na mkurugenzi mtendaji wake, Anna Henga imeeleza kuwa kufanya hivyo ni kinyume na  sheria ya kanuni ya adhabu sura 16, sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 na sheria ya jeshi la polisi na huduma saidizi sura ya 322.

Tamko hilo limekuja kufuatia kusambaa kwa video inayowaonyesha askari watatu wakitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kumkata mtuhumiwa katika mji wa Tunduma, mkoani Songwe.

Katika taarifa hiyo LHRC imelitaka jeshi la polisi kuzingatia haki katika utekelezaji wa majukumu yake huku likilinda uhai wa raia na mali zake.

Sanjari na hilo kituo hicho kimewaasa wananchi kutoa ushirikiano kwa polisi pale wanapotimiza wajibu wao ikiwemo kukamata, kuhoji, kupekua ili kuepusha ulazima wa matumizi ya nguvu kubwa dhidi ya raia


Hivyo makala Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva

yaani makala yote Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/tamko-la-lhrc-kufuatia-tukio-la-trafiki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tamko la LHRC kufuatia tukio la trafiki watatu kumshambulia dereva"

Post a Comment