Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali

Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali
kiungo : Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali

soma pia


Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali

 
 
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeifuta kesi iliyofunguliwa na Kiongozi wa ACT Wazalendo na wenzake wa vyama vya upinzani  waliyokuwa wakiitaka mahakama hiyo kuzuia kusomwa kwa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wakidai kuwa uko kinyume na katiba ya nchi.

Mahakama imetoa uamuzi huo leo Jumatatu, Januari 14, 2018 ambapo walalamikaji, Zitto na wenzake wamekubali maamuzi hayo na kusema sasa nguvu yao ni kwenda kuupinga muswada huo kwenye kamati za bunge.

Jaji Benhajo Masoud amesema Mahakama imeliondoa shauri hilo baada ya waombaji kuchanganya mashataka mawili kwa pamoja.

“Mahakama imeondoa shauri letu dhidi ya serikali kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa na kifungu cha 8(3) cha sheria ya Haki na Wajibu ( BRADEA ) kwa sababu ya maombi hayo mawili kuunganishwa. Kufuatia uamuzi huo wa mahakama tumeagiza mawakili leo wafungue kesi mpya ya BRADEA.

“Tunaheshimu maamuzi ya mahakama na tunaamini mahakama imetenda haki. Hivyo tumeamua kurudi mahakamani kwa ombi moja la kupinga kifungu cha 8(3) cha sheria ya Haki na Wajibu. Kifungu hiki kinakiuka katiba kwa kuzuia mashauri ya kupinga miswada ya sheria. Mahakama ni chombo cha haki.

“Tutaendelea kuupinga muswada wa sheria ya kurekebisha sheria ya vyama vya siasa mbele ya kamati za bunge na ndani ya bunge. Muswada ukipita kuwa sheria kama ulivyo au kuwa mbaya zaidi, tutaupinga mahakamani tena. Hatutakata tamaa katika kudai haki,” amesema Zitto.

Advertisement


Hivyo makala Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali

yaani makala yote Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kesi-ya-zitto-kabwe-na-wenzake-kupinga.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kesi ya Zitto Kabwe na Wenzake Kupinga Muswada Wa Vyama vya Siasa yatupiliwa mbali"

Post a Comment