SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA

SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA
kiungo : SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA

soma pia


SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA

Wachezaji wa timu ya Bandari wakishangilia baada ya kufanikiwa kupata goli lililowapelekea hatua ya nusu fainali ya Michuano ya Sportpesa leo katika Uwanjwa wa Taifa Jijini Dar es Salaam.


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.


TIMU ya Singida United ya Tanzania imepoteza mchezo wake wa hatua ya robo fainali kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya Bandari uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.


Mchezo huo ulioanza majira ya saa 8 mchana ukiwa  ni mechi ya Ufunguzi wa michuano ya Sportpesa inapoteza dhidi ya Bandari na kupunguza idadi ya wawakilishi kutoka Tanzania. mashindano hayo.

Singida United imepoteza mchezo huo na inakuwa ni timu ya kwanza kuondolewa kwenye hatua ya robo fainali kutoka Tanzania na kuifanya Bandari kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali.


Mchezo unaoendelea kwa sasa ni kati ya Yanga na KK Sharks Uwanja wa Taifa ili kumpata mshindi atakayetinga hatua ya nusu fainali ya mashindano haya.

Mshindi wa SportPesa Cup atapata fursa ya kucheza na timu ya Everton ambayo nayo inadhaminiwa na kampuni ya SportPesa na msimu huu mshindi atafuatwa nyumbani na Everton wenyewe.



Hivyo makala SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA

yaani makala yote SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/singida-united-yaaga-michuano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SINGIDA UNITED YAAGA MICHUANO YA SPORTPESA"

Post a Comment