title : Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) yatuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA.
kiungo : Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) yatuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) yatuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA.
Katika orodha hiyo wapo waamuzi wa katikati na Waamuzi wasaidizi wa Kiume na wa Kike.
Aidha wapo pia waamuzi watakaochezesha soka la Ufukweni.
Waamuzi wa katikati Wanaume
1 NASSORO Mfaume Ali
2 SASII Hery Ally
3 MWANDEMBWA Emmanuel Alphonce
4 SAANYA Martin Elifhas
Waamuzi Wasaidizi
1 CHACHA Ferdinand
2 KINDULI Mgaza Ally
3 LILA Soud Iddi
4 KOMBA Frank John
5 MKONO Mohamed Salim
6 HAULE Mbaraka Haule
Waamuzi wa Soka la Ufukweni
1 MSILOMBO Jackson Steven
2 MWAMBONEKO Geofrey Tumaini
Waamuzi wa katikati Wanawake
1 KABAKAMA Jonesia Rukyaa
2 CHIEF Florentina Zabron
Waamuzi wasaidizi Wanawake
1 MDUMA Hellen Joseph
2 WAMALA Grace
3 BALAMA Janet Charles
4 MTWANA Dalila Jafari
Hivyo makala Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) yatuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA.
yaani makala yote Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) yatuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) yatuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/shirikisho-la-mpira-wa-miguu-duniani.html
0 Response to "Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) yatuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA."
Post a Comment