RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO

RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO
kiungo : RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO

soma pia


RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO

Na Amisa Mussa

MKUU  wa  Mkoa  wa  Tabora  Aggrey Mwanri ameahidi kuwashughulikia wataalam wa afya wanaowatoza fedha  wajawazito wakati kutaka kujifungua.

 Pamoja na mambo mengine amesema kwa sasa wanaendelea kuboresha upatikanaji wa huduma za afya pamoja na kupunguza vifo vya mama na mtoto mkoani humo.

Akizungumza katika kampeni za  Bima ya Afya ya Jamii(CHF) iliyoboreshwa pamoja na Kampeni ya  Jiongeze Tuwavushe salama ,Mwanri ametumia kampeni hizo kuwanyooshea vidole baadhi ya watoa huduma za afya ambao wanawatoza fedha wanawake wajazito wanakwenda kujifungua katika vituo vya afya na zahanati.

Mwanri amesema hatosita kumchukulia hatua za kinidhamu mtumishi wa afya atakayebainika kumtoza fedha mama mjamzito.

Katika hatua nyingine Mwanri ametoa onyo kwa wakurugenzi wa  Halmashauri  za  Wilaya  mkoani humo ambao  wamezembea  kuwasajili  wazee  na  kufungua  madirisha  maalum ya  kuwahudumia  katika hospitali  na zahanati zilizopo kwenye maeneo yao.

Kuhusu uzinduzi  wa  kampeni  hizo  imekwenda  pamoja na  Serikali ya  Mkoa  wa  Tabora  kupokea  magari  madogo  nanne ya kubeba wagonjwa kutoka Shirika  Care  International kupitia  mradi  wa  Tamani yenye  thamani  ya zaidi ya Sh.Milioni 184.


Hivyo makala RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO

yaani makala yote RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rc-mwanri-atoa-onyo-kwa-watoa-huduma-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MWANRI ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA WANAOCHUKUA FEDHA KWA MAMA MJAMZITO"

Post a Comment