RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE

RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE
kiungo : RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE

soma pia


RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE

Na Ripota, BBC 

RAIS wa nchi ya Gabon Ali Bongo ameamua kurejea nchini kwake ikiwa ni moja tu tangu kufanyika kwa jaribi la kimapinduzi la kutaka kumuondoa madarakani.

Bongo mwenye umri wa miaka 59 amerejea nchini mwake akitoa nchini Morocco ambapo alikuwa amekwenda kwa ajili ya kupatiwa matibabu na amekaa nchini humo kwa miezi miwili.Hivyo amerejea nchini kwake baada ya jeshi kufanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi ya Serikali yake.Rais huyo akiwa kwenye mkutano mkuu wa kiuchumi nchini Saudi Arabia alipatwa na Kiharusi.

Taarifa kuhusu Rais Ali Bongo ambayo imetolewa leo Januari 15,2019 na Shirika la Habari la Uingereza(BBC) inaeleza kuwa kwa sasa yupo nchini kwake.Rais huyo baada ya kuwepo kwa utata kuhusu hali yake Desemba mwaka jana aliamua kutangaza kupatwa na kiharusi.

Kwa mujibu wa BBC ni kwamba wiki iliyopita, jeshi nchini humo lilizima jaribio la mapinduzi ya Serikali na kumkamata kiongozi wa kundi hilo na pia kuwaua wanajeshi wawili waliokuwa wamevamia kituo cha redio ya taifa.

Inaelezwa wanajeshi hao walisema walihisi hotuba ya Bw Bongo ya Mwaka ilidhihirisha kwamba kiongozi huyo alikuwa amepoteza uwezo wake wa kuliongoza taifa hilo.Mwishoni mwa wiki, Waziri Mkuu Julien Nkoghe Bekale alitangaza mabadiliko katika baraza la mawaziri.Katiba ya Gabon inasema mawaziri ni lazima wale kiapo mbele ya Rais.
RAIS wa nchi ya Gabon Ali Bongo


Hivyo makala RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE

yaani makala yote RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-wa-gabon-ali-bongo-sasa-arejea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA GABON ALI BONGO SASA AREJEA NCHINI MWAKE"

Post a Comment