BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED

BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED
kiungo : BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED

soma pia


BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED


Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Benki Kuu ya Tanzania imekamilisha Mchakato wa ufumbuzi na madeni ya iliyokuwa Benki M na kuyahamishia katika benki ya Azania Limited.

akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dr.Bernard Kibesse amesema kuwa Bneki kuu ya Tanzania kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa chini ya kifungu cha 59(4)cha sheria ya mabenki na Tasisi za fedha ya mwaka 2006 mchakato wa kupata ufumbuzi wa matatizo ya Bank M umekamilika na madeni ayke kuchukuliwa na benki nyingine kama njia ya ufumbuzi wa matatizo.

"Hivyo kwa mamlaka iliyopewa chini ya kifungu cha 58(20)(h) cha sheria ya Mabenki na Tasisi za fedha ya mwaka 2006 ,benki kuu imeamua kuhamisha kwa mujibu wa sheria (aquisition by Operation of the law) mali na madeni yote ya bank M kwenda Azania Bank Limited "

anasema kwa sasa Benki kuu,Azania Bank Limited na wadau wengine wanaendelea kuandaa taratibu za kisheria za kukamilisha mchakato wa uhamishaji wa mali na Madeni ya Bank Mkwenda Azania Bank Limited.
anasema wateja wenye Amana na wadai wengine wa Bank M watataarifiwa tarehe ya kuanza kupata huduma za kibenki kupitia Azania Bank Limited.Wateja wenye mikopo wanatakiwa kuendelea kulipa mikopo yao kulingana na Mikataba yao.

alimaliza kwa kusema kuwa Benki Kuu inawaakikishia kuwa Azania Bank Limited itakuwa na Mtaji na Ukwasi wa kutosha kuweza kuwahudumia wateja wake na wateja wapya kutoka Bank M baada ya kuchukua Mali na Madeni ya benki hiyo hivyo Azania Bank inatarajiwa kuwa na mtaji wa Bilioni 164.  
 Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania ,Dk .Bernard Kibesse akizungumza na Waandishi wa Habari Juu ya hatua zilizochukuliwa na Benki Kuu kuhamisha amana zote za Benki M na Madeni yake kwenda Benki ya Azania.
 Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania ,Dk .Bernard Kibesse akizungumza na Waandishi wa Habari Juu ya hatua zilizochukuliwa na Benki Kuu kuhamisha amana zote za Benki M na Madeni yake kwenda Benki ya Azania.
 Mkurugenzi wa Benki ya Azania Katikati Mwenye Tai Nyekundu akiwa na wadau wengine wa Masuala ya Kibenki waliohudhuria Mkutano wa BOT na Waandishi wa Habari
 Mwandishi wa Habari Kutoka Gazeti la Nipashe, Beatrice Moses akiuliza Swali kwa Gavana juu ya Mchakato wa kuhamishwa kwa benki hiyo.
Sehemu ya Waandishi wa Habari walioshiriki Mkutano huo ulikuwa ukitangaza maamuzi ya kuhamisha Benki Mkwenda Azania Bank.


Hivyo makala BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED

yaani makala yote BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/breaking-newzzzzz-bot-yahamishia-benki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NEWZZZZZ: BOT YAHAMISHIA BENKI M KUWA SEHEMU YA AZANIA BANK LIMITED"

Post a Comment