"Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli.

"Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa "Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : "Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli.
kiungo : "Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli.

soma pia


"Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli.

Image result for picha za bashiru ali ccm

Rais John Magufuli  ameweka wazi kuwa hotuba za Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally huwa zinamshangaza kwa namna ambavyo anazitoa bila uoga jambo ambalo humfanya yeye ajione ni mpole.
 
Mwenyekiti huyo wa CCM alieleza hilo jana kwenye hotuba yake wakati wa mapokezi ya ndege ya pili aina ya Airbus A220-300 iliyowasili nchini jana mchana Januari 11, 2019 kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.

''Dkt. Bashiru amekuwa muwazi, huwa namuangalia kwenye hotuba zake saa nyingine nasema kumbe mimi nafuu bwana kuliko huyu jamaa'', alisema.

Rais alieleza kuwa Katibu wake huyo amekuwa akikemea ufisadi ambao ulikuwa ukishamili siku hadi siku lakini sasa yeye anapingana nao hadharani bila kujali.

Magufuli amewataka viongozi wote wa chama na Serikali kuendelea kuwatumikia wananchi kwa moyo mmoja ili kusaidia maendeleo na siku moja Tanzania itakuwa kama Ulaya.


Hivyo makala "Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli.

yaani makala yote "Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala "Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/moto-wa-katibu-mkuu-ccm-mimi-siufikii.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to ""Moto wa katibu mkuu CCM, Mimi Siufikii" RAIS DKT Magufuli."

Post a Comment