title : MFUMO MBOVU WA KUUZA KAZI ZA FILAMU WAMKERA WEMA SEPETU
kiungo : MFUMO MBOVU WA KUUZA KAZI ZA FILAMU WAMKERA WEMA SEPETU
MFUMO MBOVU WA KUUZA KAZI ZA FILAMU WAMKERA WEMA SEPETU
STAA mwenye umaarufu wake katika tasnia ya uigizaji wa filamu nchini Wema Sepetu ametoa ombi la kuwepo kwa soko la uhakika la kuuza kazi zao za filamu.
Wema ametoa amesema hay oleo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda baada ya kuwaita wasanii wa fani mbalimbali kukuta naye ili kusikiliza changamoto za wasanii.
Amesema changamoto kubwa ambayo inawakabili waigizaji wa filamu ni kutokuwa na soko maalumu kwa ajili ya kuuza kazi zao na kwamba eneo hilo likipatiwa ufumbuzi wataifanya kazi hiyo ya sanaa kwa uhuru.
“Tunaomba Mkuu wa Mkoa utusaidie kupata mfumo ambao utatuwezesha kuuza zetu bila kuwepo kwa matatizo.Kwa sasa ni changamoto ni nyingi kiasi cha kukatisha tamaa.Hivyo natumai utatusaidia katika kutatua changamoto ya mfumo wa uuzaji wa kazi za filamu,”amesema Wema.
Wema wakati anazungumzia changamoto ya soko la filamu nchini ,Makonda alikuwa akiliza kwa makini na wakati anajibu kuhusu ombi la muigizaji huyo ameahidi kutafuta umbuzi. Makonda aliamua kuwaita wasanii wa tasnia mbalimbali kwa lengo la kuhakikisha anasikiliza changamoto za wasanii hao na kisha kuzitafutia ufumbuzi wake.
Hivyo makala MFUMO MBOVU WA KUUZA KAZI ZA FILAMU WAMKERA WEMA SEPETU
yaani makala yote MFUMO MBOVU WA KUUZA KAZI ZA FILAMU WAMKERA WEMA SEPETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MFUMO MBOVU WA KUUZA KAZI ZA FILAMU WAMKERA WEMA SEPETU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mfumo-mbovu-wa-kuuza-kazi-za-filamu.html
0 Response to "MFUMO MBOVU WA KUUZA KAZI ZA FILAMU WAMKERA WEMA SEPETU"
Post a Comment