title : MASHABIKI SIMBA WAPANIA MCHEZO WA KIMATAIFA
kiungo : MASHABIKI SIMBA WAPANIA MCHEZO WA KIMATAIFA
MASHABIKI SIMBA WAPANIA MCHEZO WA KIMATAIFA
Wanachama wa klabu ya Simba wamezidi kuwakumbushia wachezaji wao kutokubweteka kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi ya wiki hii dhidi ya JS Saoura ya Algeria.Baadhi ya wanachama hao wameonya ni vema wakazidi kuonesha kupambana zaidi katika dakika 90 ndani ya dimba ili kujua thamani ya jezi na namna taifa linavyotegemea matokeo mazuri kwao.
Mmoja wa wanachama hao amesema hakuna sababu ya kujiachia kisa walifanikiwa kuwatoa Nkana katika hatua ya kuelekea makundi.
Amesisitiza kuwa hatua hiyo ni ngumu na timu zote zilizopo si za mchezo hivyo wachezaji wanapaswa kupigana haswa kuhakikisha wanapata ushindi Jumamosi ijayo.
Simba itakuwa inatupa karata yake ya mwanzo katika hatua ya makundi na Waalgeria Jumamosi ya wiki hii ambapo mechi itachezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hivyo makala MASHABIKI SIMBA WAPANIA MCHEZO WA KIMATAIFA
yaani makala yote MASHABIKI SIMBA WAPANIA MCHEZO WA KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHABIKI SIMBA WAPANIA MCHEZO WA KIMATAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mashabiki-simba-wapania-mchezo-wa.html
0 Response to "MASHABIKI SIMBA WAPANIA MCHEZO WA KIMATAIFA"
Post a Comment