MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO

MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO
kiungo : MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO

soma pia


MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO


Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala ya Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA)Bw. Charles Kiondo akizungumza na daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete JKCI Dr. Tatizo Waane kulia mara baada ya kumalizika mafunzo hayobyaliyofanyika leo kwa njia ya Video katikati ni Dr. Delillah Kimambo kutoka JKCI na Dr Kilalo Mjema kutoka Hospitali ya Agha Khan na kushoto ni Katibu Mkuu Mstaafu wa Utumishi Joseph Rugiyamheto.
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala ya Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA)Bw. Charles Kiondo akisikiliza mjadala wakati wa mafunzo kwa njia ya mtandao yaliyoendeshwa kwa pamoja na Hospitali Continental ya India pamoja na wakala hiyo yaliyofanyika jijini Dar es salaam yakishirikisha wataalam na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na taasisi zingine kulia ni Balozi Ulisubisya Mpoki na katikati ni Katibu Mkuu Mstaafu Utumishi Joseph Rugiyamheto.

...................................................................................................

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala ya Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA) imeendesha mafunzo ya uzibuaji valvu ya Moyo kwa njia Video na Hospitali ya Continental ya nchini India ili kubadilishana uzoefu na wataalam wa nchini.

Akizungumza katika mafunzo ya uzibuaji wa Valvu ya Moyo Mkurugenzi Mkuu wa wakala hiyo Charles Senkondo amesema kuwa katika mkutano huo watalaam wamepata uzoefu kutoka kwa Mkuu wa Cath Lab ya Hospitali ya Continental ya nchini India Profesa Bharath Purohit. Senkondo amesema kuwa tangu kuanza kwa mkutano kwa njia ya Mtandao kada mbalimbali zimepata mafunzo katika Mada zinazoandaliwa na taasisi hiyzo kwa kushirikiana na wakala ya Mafunzo kwa njia ya Mtandao TaGLA. Amesema wakala hiyo ndio inaongoza kwa nji za Afrika katika uendeshaji wa mafunzo.

Aidha amesema kuwa eneo hilo la uzibuaji valvu ya Moyo umekuwa na mwitikio mkubwa kwa upande wa madaktari wetu katika kupata uzoefu wa Hospitali ya Continental ya nchini India. Daktari Bingwa wa Moyo Dkt.Tatizo Waene amesema kuwa mafunzo hayo ni muhimu katika Sekta ya Afya kwa watalaam kupata ujuzi zaidi kutoka kwa wabobezi wa masuala ya magonjwa ya moyo na pia mafunzo hayo yanapunguza hata gharama za matibabu kwakuwa wataalamu wengi wanapopata mafunzo wanapata uzoefu na kufanya kazi nzuri ya kutibu wagonjwa HAYO hapahapa nyumbani.

Dr. Tatizo Waane ameongeza kuwa kuna kila sababu ya kuwa na mipango mahsusi kati ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Walala ya Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA) ili kufanya uchambuzi ulio makini na wenye tija wakati wa kuwapata washiriki wa mafunzo hayo ili kupata uwiano wa kada zote jambo ambalo litawezesha wataalam hao kupata weledi wa namna ya kukabili magonjwa ya moyo kwa uwiano mzuri
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala ya Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA) na Katibu Mkuu Mstaafu Utumishi Joseph Rugiyamheto wakimsikiliza Dr. Bharath Purohit kutoka Hospitali ya Continental ya india wakati akitoa mafunzo ya uzibuaji wa valvu ya moyo kwa njia ya video leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Mstaafu Utumishi Joseph Rugiyamheto akichangia jambo wakati wa mafunzo kwa njia ya video huku Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala ya Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA) akifuatilia mjadala huo.
Picha mbalimbali zikionesha baadhi ya washiriki wakifuatilia mjadala huo ulifanyika kwa njia ya video.


Hivyo makala MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO

yaani makala yote MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/madaktari-wa-magonjwa-ya-moyo-wapata.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MADAKTARI WA MAGONJWA YA MOYO WAPATA MAFUNZO YA UZIBUAJI WA VALVU YA MOYO KWA NJIA YA MTANDAO"

Post a Comment