CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA

CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA
kiungo : CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA

soma pia


CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Ismailia nchini Misri kutokana na mashabiki wake kuwafanyia vurugu timu ya Club African Ya Tunisia.

Maamuzi hayo yamekuwa baada ya CAF kupokea ripoti ya mchezo namba 96 kati ya Ismailia na Club African uliochezwa Januari 18 mwaka huu nchini Misri ikielezea vurugu zilizotokea kwenye mchezo huo.

Ripoti hiyo imeeleza kuwa mashabiki wa timu ya Ismilia walianza kumrushia chupa za maji mwamuzi msaidizi wa mchezo huo pamoja na timu ya Club African hususani katika dakika ya 86 ya mechi hiyo.

Baada ya kushindwa kuendelea na mchezo huo kutokana na vurugu za mashabiki wa Ismailia, mwamuzi aliamua kusimamisha mchezo huo na kuzitaka timu zote kuingia vyumbani na walipelekwa wakisindikizwa na walinzi.

Katika kanuni ya 12, kifungu cha 3 kinaeleza kuwa kama mwamuzi atalazimika kusimamisha mchezo au kuumaliza basi timu iliyohusika na vurugu itahesabiwa imepoteza mechi au ikiwemo na kuondolewa kwenye michuano.

Baada ya kamati kukutana na kuipitia ripoti ya kamisaa wa mchezo huo, wamefikia maamuzi ya kuiondoa timu hiyo katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufuta matokeo yote kwa zile timu ambazo walishacheza nazo.

Ismailia ilikua katika kundi C wakiwa sambamba na Timu ya Tp Mazembe, Club African na Cs Constatinios na kwa sasa zinasalia timu tatu.


Hivyo makala CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA

yaani makala yote CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/caf-waiondoa-ismailia-kwenye-michuano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CAF WAIONDOA ISMAILIA KWENYE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA"

Post a Comment