Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
kiungo : Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

soma pia


Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Job Ndugai  (kulia) akimwapisha Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea , Bungeni jijini Dodoma
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho  ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2018, Bungeni jijini Dodoma.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kiembe Samaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi kutoka jimbo la Kilwa Kusini waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao  Selemani Bungara, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

yaani makala yote Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kutoka-bungeni-leo-jijini-dodoma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma."

Post a Comment