title : KARIBUNI KWENYE MAONESHO YA AFYA BURE COLOSSSEUM HOTEL
kiungo : KARIBUNI KWENYE MAONESHO YA AFYA BURE COLOSSSEUM HOTEL
KARIBUNI KWENYE MAONESHO YA AFYA BURE COLOSSSEUM HOTEL
Karibu katika Maonyesho ya Afya yatakayofanyika katika Hoteli ya Colosseum iliyopo Masaki siku ya Jumapili, tarehe 03/02/2019 kuanzia saa sita mchana hadi saa kumi jioni.
Pata nafasi ya kukutana na mabingwa katika kada zaidi ya 15 zikiwemo Lishe, Mazoezi, Ugonjwa wa Kisukari, Magonjwa ya Moyo, Afya ya Meno, Afya ya Akili, Msongo wa Mawazo, Matumizi ya Pombe na Ulevi, Madawa ya Kulevya, Afya ya Uzazi, Mahusiano, nk. Pia kutakuwa na walimu waliobobea katika malezi ya watoto watakaofundisha watoto Juu ya kutunza Afya zao!
Hakuna kiingilio! Karibu sana!
Hivyo makala KARIBUNI KWENYE MAONESHO YA AFYA BURE COLOSSSEUM HOTEL
yaani makala yote KARIBUNI KWENYE MAONESHO YA AFYA BURE COLOSSSEUM HOTEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KARIBUNI KWENYE MAONESHO YA AFYA BURE COLOSSSEUM HOTEL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/karibuni-kwenye-maonesho-ya-afya-bure.html
0 Response to "KARIBUNI KWENYE MAONESHO YA AFYA BURE COLOSSSEUM HOTEL"
Post a Comment