KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA
kiungo : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA

soma pia


KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA

Mkuu wa Magereza Mkoani Ruvuma, ACP. Alexander Nyefwe akimwelezea Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(aliyevaa miwani) juu ya wadudu wanaoshambulia mahindi katika shamba hilo hata hivyo tayari wamekwishapiga dawa za kuzuia wadudu hao.
Askari wa Gereza Kitai, Sajini Edga Mwakibinga akiimarisha ulinzi ndani ya mashamba ya mahindi wakati wafungwa wakiendelea na kazi ya palizi katika mashamba hayo ya Gereza, januari 29, 2019.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(aliyevaa miwani) akizungumza na Wafungwa wa Gereza la Kitai waliokuwa wakiendelea na kazi ya palizi katika mashamba ya mahindi baada ya kumaliza kukagua mashamba hayo, januari 29, 2019.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(aliyevaa miwani)akiangalia miundombinu inayotarajiwa kutumika katika kilimo cha umwagiliaji katika mashamba ya gereza Kitai ili kufikia malengo ya mpango mkakati wa kujitosheleza kwa chakula cha wafungwa.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike mashine ya kuzalisha nishati ya umeme wa maji katika Gereza la Kitai ambapo kwa sasa mashine hiyo haifanyi kazi kutokana na baadhi ya vifaa kuungua.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mhe. Pololeti Kamando(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(wa pili toka kushoto) alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, januari 29, 2019. Wengine ni Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa huo(Picha na Jeshi la Magereza).
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kushoto) akipokea taarifa ya Magereza Mkoa kwa Mkuu wa Magereza Mkoani Ruvuma, ACP. Alexander Nyefwe kabla ya kutembelea Gereza Mahabusu Songea na Gereza la Kilimo na Mifugo Kitai lililopo Wilaya ya Mbinga, januari 29, 2019.
Mkuu wa Gereza Kitai – Nkasi, SSP Sylivester Shija akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike alipowasili gerezani hapo katika ziara ya kikazi yenye lengo la kukagua mashamba ya mahindi ya Gereza hilo, januari 29, 2019.


Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA

yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kamishna-jenerali-wa-magereza-phaustine_29.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MKOANI RUVUMA"

Post a Comment