KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
kiungo : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

soma pia


KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kulia vazi la kiraia) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe leo Januari 24, 2019 tayarri kwa ziara ya kikazi katika baadhi ya mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwemo Mbeya, Songwe, Rukwa, Katavi na Ruvuma.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(vazi la kiraia) akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Mbeya mapema alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe leo Januari 24, 2019 kwa ziara ya kikazi katika baadhi ya mikoa ya nyanda za juu kusini.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(katikati vazi la kiraia) akiteta jambo na Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo mara baada ya kuwasili jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi(kulia) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Mbeya, SACP. Luhende Makwaia(wa kwanza kushoto) ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya awali ya Uaskari Magereza – Kiwira, ACP. Mathias Mkama(wa pili toka kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Mbeya, ACP. Lyzek Mwaseba 
. Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike akisalimiana na Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Chocha Peter(kushoto) alipokutananaye katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe leo Januari 24, 2019.


Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kamishna-jenerali-wa-magereza-phaustine.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE KUANZA ZIARA YA KIKAZI BAADHI YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI"

Post a Comment