title : Kamati ya Baraza la Wawakilishi Wakiwa Ziarani Kutembelea Miradi Mbalimbali Kisiwani Pemba.
kiungo : Kamati ya Baraza la Wawakilishi Wakiwa Ziarani Kutembelea Miradi Mbalimbali Kisiwani Pemba.
Kamati ya Baraza la Wawakilishi Wakiwa Ziarani Kutembelea Miradi Mbalimbali Kisiwani Pemba.
MAKAMU mwenyekiti wa kamati ya kusimamia ofisi ya Viongozi wa Kuu wa Kitaifa Ali Suleiman Shihata, akiwaongoeza baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo, pamoja na watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rai Zanzibar, wakiongozwa na waziri Mohamed Aboud Mohamed, wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea ujenzi wa nyumba ya makaazi ya makamu wa Pili huko Pagali Chake Chake
MAKAMU mwenyekiti wa kamati ya Kusimamia Ofisi ya Viongozi wakuu wa Kitaifa ya Baraqza la Wawakilishi Zanzibar Ali Suleiman Shihata, akizungumza mara baada ya kukagua nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais ujenzi unaoendelea huko Pagali Wilaya ya Chake Chake
MWENYEKITI wa Kamati ya kusimamia Ofisi za Viongozi wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Panya Ali Abdalla, akizutoa majumuisho ya ziara ya kamati hiyo katika Ofisi ya Makamu wa Pili Pemba
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza katika majumuisho ya ziara ya siku mbili ya Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa huko katika ukumbi wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Wete..(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Kamati ya Baraza la Wawakilishi Wakiwa Ziarani Kutembelea Miradi Mbalimbali Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Kamati ya Baraza la Wawakilishi Wakiwa Ziarani Kutembelea Miradi Mbalimbali Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya Baraza la Wawakilishi Wakiwa Ziarani Kutembelea Miradi Mbalimbali Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kamati-ya-baraza-la-wawakilishi-wakiwa.html
0 Response to "Kamati ya Baraza la Wawakilishi Wakiwa Ziarani Kutembelea Miradi Mbalimbali Kisiwani Pemba."
Post a Comment