JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI

JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI
kiungo : JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI

soma pia


JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kuteua Mawaziri, Makatibu wakuu na Balozi, ambapo miongoni mwa watu walioteuliwa ni daktari aliyeongoza timu ya matabibu kumuokoa Tundu Lissu alipopigwa Risasi mwaka 2017.



Dkt. Mpoki Ulisubisya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, ameteuliwa kuwa Balozi ambaye Ubalozi wake bado haujatangazwa, na ndiye aliyeongoza timu ya madaktari kumuokoa Tundu Lissu mkoani Dodoma.

Uteuzi huo ambao umetangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, pia Rais Magufuli amemteua Bi. Angela Kairuki kuwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu / Uwekezaji, na kumpandisha cheo Naibu Waziri wa Madini Dotto Biteko kuwa Waziri wa Madini, na Naibu wa pili wa wizara hiyo Stanslaus Nyongo kuendelea kuwa Naibu Waziri.

Pia Rais Magufuli ameteua Makatibu Wakuu wanne, na Naibu Makatibu Wakuu wawili, ili kujaza nafasi za Makatibu Wakuu waliostaafu.

TAZAMA ORODHA KAMILI HAPA CHINI:

Angela Kairuki – Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu/Uwekezaji
Dotto Biteko – Waziri wa Madini
Stanslaus Nyongo – Naibu Waziri Madini

Joseph Nyamhanga - Katibu Mkuu TAMISEMI

Zainabu Chaula – Katibu Mkuu Afya

Elius Mwakalinga – Katibu Mkuu Ujenzi

Doroth Mwaluko – Katibu Mkuu Sera

Doroth Gwajima - Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI

Francis K Michael - Naibu Katibu Mkuu UTUMISHI

Sambamba na hayo yote Rais Magufuli amefungua Ubalozi mpya wa Tanzania nchini Cuba ambao utakuwa katika mji wa Havana, na Balozi wake atatangazwa hivi karibuni.


Hivyo makala JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI

yaani makala yote JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/jmp-afanya-mabadiliko-baraza-la-mawaziri.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JMP AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI"

Post a Comment