IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mchungaji wa Kanisa la Baptist Kinondoni,Samweli Kabonaki akiongoza ibada ya kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019 iliyoanza saa tatu usiku na kufika tamati saa sita usiku.

Kwaya ya vijana ya Kanisa la Baptist Kinondon  B  wakiimba nyimbo za kusifu na shangwe wakati wa mkesha wa mwaka mpya Dar es Salaam.

Wanakwaya wakitoa huduma  katika  mkesha wa mwaka mpya uliofanyika katika  kanisa la Baptist Kinondoni B jijini Dar es Salaam.

Waumini wa kanisa la Baptist Kinondoni B wakiendeleza sherehe za kuupokea mwaka 2019 na kuuaga mwaka 2018 leo  usiku kwenye ibada  ya kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019,iliyoanza saa 3 usiku na kufika tamani saa 6 usiku.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)



Hivyo makala IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ibada-ya-mkesha-wa-mwaka-mpya-kanisa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment