title : HALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO YA MWAKA 2018, WAKATI IDADI YA WATEJA WAKE IKIFIKIA MILIONI 4 NCHINI KOTE
kiungo : HALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO YA MWAKA 2018, WAKATI IDADI YA WATEJA WAKE IKIFIKIA MILIONI 4 NCHINI KOTE
HALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO YA MWAKA 2018, WAKATI IDADI YA WATEJA WAKE IKIFIKIA MILIONI 4 NCHINI KOTE
• Thamani ya HaloPesa hadi 356%
. Malengo kuwafikia wateja wa Halopesa 1.5 million 2019
2018 ulikuwa mwaka mzuri kwa Kampuni ya Halotel Tanzania ikiwa moja ya Kampuni ya Mawasiliano iliyosajiliwa nchini ikifanikiwa kuongeza idadi ya wateja na mawasiliano katika maeno mbalimbali nchini.
Takwimu zilizopo zinaonyesha watumiaji wa mtandao wa Halotel hadi Septemba imeweza kufikia wateja Milioni 4 ikikua kutoka wateja 3.7 Milioni Septemba Mwaka 2017 .Halkadhalika idadi ya watumiaji wa Halopesa ikionekana kuongezeka kwa kasi kutoka watumiaji 358,217 Septemba Mwaka 2017 hadi watumiaji 800,000 Septemba Mwaka 2018.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam leo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Nguyen Van Son, kuongezeka kwa mafanikio hayo ya Kampuni hiyo hususani katika huduma za watumiaji wa Halopesa kumetokana na mpango wa utoaji huduma kwa wateja uliozinduliwa na Kampuni mapema Mwaka 2018.
“Kwa kifupi kampuni imeweza kukua katika utoaji wa huduma zake mbalimbali kwa kipindi chote cha mwaka uliopita, katika kipindi hicho Halotel imezindua huduma mbalimbali ikiwemo huduma shirikishi inayomwezesha mteja kutuma au kupokea Fedha kutoka Halopesa kwenda katika akaunti yake au mtandao mwingine wowote wa simu; pia tulizindua huduma ya utoaji mkopo ijulikanayo kama ‘HaloYako’.
“Aidha katika kipindi hicho pia tulikuja na mpango wa ulipaji malipo mbalimbali Serikalini kumwezesha mteja kuondokana na usumbufu mbali na hiyo pia tumeweza kumrahisishia mteja kuweza kutuma fedha katika benki zaidi ya 20 zilizopo nchini” alisema Son.HaloPesa ilikuwa na mawakala hai wapatoa 10,367 Mwaka 2017 lakini hadi tunapozungumza hivi sasa idadi hiyo imeongezeka na kufikia Mawakala 155,000 nchini kote
Aidha alisema mapato yaliyotokana na thamani ya manunuzi ya HaloPesa pia yaliongezeka hadi kuifikia 183%, "Tuliona kiwango cha 356% katika thamani ya manunuzi ya HaloPesa na ongezeko kwa 167% alisema.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel, Nguyen Van Son, akizungumza mbele ya Waandishi wa habari leo jijini Dar kuhusu mafaniklio iliyopata katika kipindi cha mwaka 2018, ikiwemo kuimarika kwa huduma ya Halopesa na kwa mkongo wa mawasiliano wa kampuni hiyo ambao umefikisha katika vijiji zaidi ya Kumi na tatu elfu nchi nzima,kulia ni
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel, Mhina Semwenda.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel, Mhina Semwenda, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, leo kuhusu mafanikio iliyopata katika kipindi cha mwaka 2018, ikiwemo kuimarika kwa huduma ya Halopesa na kwa mkongo wa mawasiliano wa kampuni hiyo ambao umefikisha katika vijiji zaidi ya Kumi na tatu elfu nchi nzima. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji , Nguyen van Son.

Hivyo makala HALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO YA MWAKA 2018, WAKATI IDADI YA WATEJA WAKE IKIFIKIA MILIONI 4 NCHINI KOTE
yaani makala yote HALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO YA MWAKA 2018, WAKATI IDADI YA WATEJA WAKE IKIFIKIA MILIONI 4 NCHINI KOTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO YA MWAKA 2018, WAKATI IDADI YA WATEJA WAKE IKIFIKIA MILIONI 4 NCHINI KOTE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/halotel-yajivuna-mafanikio-ya-mwaka.html
0 Response to "HALOTEL YAJIVUNA MAFANIKIO YA MWAKA 2018, WAKATI IDADI YA WATEJA WAKE IKIFIKIA MILIONI 4 NCHINI KOTE"
Post a Comment