DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI

DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI
kiungo : DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI

soma pia


DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI


NaWAMJW - SONGEA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, akiwa katika ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma za Afya bora kwa Wananchi.

Katika ziara hiyo Dkt. Ndugulile ameuagiza uongozi wa Hospitali hiyo kuhakikisha vifaa vyote vilivyoharibika vinatengenezwa na kuanza kufanya kazi mara moja.Kwa upande mwingine ameutaka uongozi wa Hospitali hiyo kuhakikisha wanatumia Fedha vizuri katika kufanya maboresho ya majengo ya Hospitali hiyo, ikiwemo kutumia Forced account katika ujenzi huo.

Pia, Dkt. Ndugulile ameuagiza uongozi wa Hospitali hiyo kuhakikisha kila mtoa huduma za Afya anaandika muda kwa usahihi aliomuhudumia mgonjwa kuanzia anapopokelewa, anapofanyiwa matibabu mpaka anapoandikiwa dawa jambo litalorahisisha kubaini mtenda kosa endapo mgonjwa atapata tatizo.

Aidha, Serikali imeahidi kuwapa gari la kubebea wagonjwa katika Hospitali hiyo ili kupunguza vifo vinavyoweza kuzuilika endapo gari hilo litakuwepo ikiwemo vifo vya mama na mtoto.

Mbali Na hayo Dkt. Ndugulile amewapongeza Watoa Huduma za Afya katika Hospitali hiyo kwa kazi nzuri wanayofanya huku akiwatia moyo kuwa Serikali inafahamu mchango wao na itaendelea kuboresha mahitaji yao.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. faustine Ndugulile akikagua karatasi ya idadi ya wagonjwa waliofika kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, ikiwa ni ziara yake ya kukagua ubora wa huduma za Afya katika Hospitali hiyo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. faustine akikagua hali ya upatikanaji wa Dawa kwenye chumba cha kuhifadhia Dawa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. faustine akimjulia hali mtoto aliyepelekwa kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, ikiwa ni ziara yake ya kukagua ubora wa huduma za Afya katika Hospitali hiyo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. faustine Ndugulile akikagua miguu bandia katika chumba cha kuhifadhia vifaa mbali mbali vya Hospitali, ikiwa ni ziara yake ya kukagua ubora wa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma.



Hivyo makala DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI

yaani makala yote DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/dktndugulile-atembelea-hospitali-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT.NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUVUMA,AKAGUA HALI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA BORA KWA WANANCHI"

Post a Comment