BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL

BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL
kiungo : BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL

soma pia


BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL


Na Khadija Seif, Globu ya jamii

KATIKA kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kusogeza huduma muhimu karibu na wananchi benki ya posta nchini (TPB) imesaini mkataba wa makubaliano ya kibiashara na shirika la Mawasiliano nchini (TTCL) jijini Dar es salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya posta (TPB) Sabasaba Moshingi katika hafla hiyo amesema, utakua ushirikiano mzuri ambao utaleta mafanikio makubwa hasa kuwapa fursa wateja wa benki ya TPB pamoja na wateja wa TTCL katika kufanya mahitaji yao ya kifedha mtandaoni.

Moshingi ameeleza jinsi wateja wa benki ya TPB na wateja wa Shirika la Mawasiliano (TTCL) watakavyonufaika kutokana na maboresho ya huduma hizo  za kifedha kwa njia ya mtandao na kuwapunguzua gharama za kupanga foleni kusubiri kufanya malipo ya baadhi ya gharama au mahitaji muhimu ya kila siku .

"Ni matumaini yangu Sasa kwa wateja wetu kutoka benki ya posta(TBP) watafurahia huduma za fedha mtandao kiganjani kupitia ttcl" alisema Moshingi.


Pia mkataba huu utaweza kuleta maendeleo makubwa kwa pande zote mbili hivyo ni jinsi gani wateja watapata suluhisho la huduma za kifedha kwa haraka zaidi kupitia benki ya posta (TPB)kwa njia ya kimtandao kutokana na kukua kwa teknolojia dunia ni fursa Sasa kwa wateja wote kufanya manunuzi yao kiganjani.

Kwa upande wa Mkuu wa kitengo cha huduma za T_pesa kutoka shirika la Mawasiliano (TTCL) Moses Alphonce amesema mkataba huo utakua Na chachu pamoja na ufanisi mkubwa kutokana na kuongeza kwa wateja wengi ambao watajiunga na  mtandao wa ttcl au benki ya posta(TPB) na kunufaika na huduma za kifedha kwa njia ya mtandao.

"Hata hivyo lengo la ttcl ni kuwafikia wateja wengi vijijini na mijini Alphonce kutokana na Kasi ya huduma zinazotolewa na ndio maana tumeamua kuboresha huduma za t_pesa kurahisisha ufanisi zaidi wa mahitaji ya wateja wetu "alisema Alphonce.

Pia Alphonce ameeleza kuwa muunganiko huo utasaidia wateja wote kufanya mahitaji kwa haraka zaidi na mawakala wataongeza kwa wingi kwa mwaka huu ili kufikia wateja kwa haraka zaidi.
Picha ya pamoja wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa makubaliano ya huduma ya fedha Mtandao kati ya  Tpb na T_pesa


Hivyo makala BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL

yaani makala yote BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/benki-ya-posta-nchini-yasaini-mkataba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA POSTA NCHINI YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SHIRIKA LA MAWASILIANO TTCL"

Post a Comment