ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA

ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA
kiungo : ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA

soma pia


ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA

Na Abullatif Yunus - Kagera. 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Kangi Lugola, ameanza Rasmi ziara yake Mkoani Kagera kwa kukutana na Idara pamoja na Taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo, na kisha kufanya Mkutano wa hadhara licha ya Mkutano huo kuchelewa kutokana na Majukumu yaliyokuwepo.

Mh. Kangi Lugola katika hotuba yake iliyojaa ufafanuzi wa Utekelezaji unaofanywa na Mh. Rais John Pombe Magufuli, katika Kusimamia Amani ya Nchi na Watanzania kwa Ujumla, na kuwa Mh. Rais hapendi kusikia Mwananchi yeyote akionewa, na kunyimwa haki kwa namna yoyote ile.

Sambamba na hilo Mh. Waziri Lugola, katika kuwakumbusha Watendaji na watumishi ndani ya Vyombo vya Ulinzi vya Usalama kuendelea kutenda haki na kulinda Amani bila kuchoka, isipokuwa wale wachache ambao wamekuwa wakichafua Vyombo vya Ulinzi kutafuta Kazi nyingine ya kufanya, akitolea mfano baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi wanaofukuza Bodaboda, na kukamata Bodaboda Gulioni.

Kuhusu Wananchi wanaowakaribisha Raia wasio Watanzania na Wahamiaji haramu amewatahadhalisha wenye kufanya hivyo waache Mara moja kwani kwa kufanya hivyo ni kuhatarisha Usalama wa Nchi yetu, ikiwa ni sambamba na wale wanaofanya shughuli za magendo.

Katika Mkutano huo wa hadhara Mh. Waziri Lugola amepata nafasi ya kusikiliza kero mbalimbali kutoka kwa Wananchi nakuahidi kuzishughulikia ndani ya muda mfupi kabla hajaondoka Mkoani Kagera.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Kangi Lugola akizungumza na Wananchi waliohudhuria kumsikiliza katika Uwanja wa Mayunga Mjini Bukoba. 
 Bi Sauda Amiri (34) Mkazi wa Bukoba Manispaa, Akitoa kero yake kwa Mh. Lugola juu ya Uonevu aliofanyiwa kwa kuchomewa Nyumba yake pamoja na kufyekewa shamba lake la miche ya nyanya 1500.
 Sehemu ya Umati uliojitokeza katika Viwanja vya Mayunga Bukoba kumsikiliza Mh. Kangi Lugola Januari 2, 2019.




Hivyo makala ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA

yaani makala yote ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/askari-wanaochafua-jeshi-la-polisi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ASKARI WANAOCHAFUA JESHI LA POLISI, WAFUNGE VIRAGO MAPEMA-LUGOLA"

Post a Comment