title : Ziara ya Naibu Waziri Mhe. Mhandisi Hamad Masauni Wilayani Mkalama Mkoani Singida.
kiungo : Ziara ya Naibu Waziri Mhe. Mhandisi Hamad Masauni Wilayani Mkalama Mkoani Singida.
Ziara ya Naibu Waziri Mhe. Mhandisi Hamad Masauni Wilayani Mkalama Mkoani Singida.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na watumishi wa Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida leo baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli zinazofanywa na Idara zilizopo chini ya wizara
Mbunge wa Jimbo la Mkalama, Allan Kiula, akiwa ndani ya gari la polisi muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), alipokuwa ziara katika Wilaya hiyo, lengo ikiwa ni kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na Idara za wizara, mkoani Singida
Mbunge wa Jimbo la Mkalama, Allan Kiula(kushoto), akimshukuru Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni baada ya kushuhudia gari la polisi (pichani), lililoletwa kwa ajili ya shughuli za kudhibiti uhalifu, Naibu Waziri yupo mkoani Singida lengo ikiwa ni kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na Idara za wizara.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Askari Polisi wa Kituo cha Nduguti kilichopo Wilayani ya Mkalama, mkoani Singida leo baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli zinazofanywa na Idara zilizopo chini ya wizara.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Polisi wilayani Mkalama, John Ntalima, mkoani Singida Leo, ikiwa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli zinazofanywa na Idara zilizopo chini ya wizara.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Hivyo makala Ziara ya Naibu Waziri Mhe. Mhandisi Hamad Masauni Wilayani Mkalama Mkoani Singida.
yaani makala yote Ziara ya Naibu Waziri Mhe. Mhandisi Hamad Masauni Wilayani Mkalama Mkoani Singida. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Naibu Waziri Mhe. Mhandisi Hamad Masauni Wilayani Mkalama Mkoani Singida. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/ziara-ya-naibu-waziri-mhe-mhandisi.html
0 Response to "Ziara ya Naibu Waziri Mhe. Mhandisi Hamad Masauni Wilayani Mkalama Mkoani Singida."
Post a Comment