WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China Nchini, Mhe. Wang Ke wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam, Kutoa Tuzo za Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI, Desemba 5, 2018.  Wapili kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa  Joyce Ndalichako   na kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika bango wakati alipowasili kwenye hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam kutoa Tuzo za Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI, Desemba 5, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika sherehe za Utoaji Tuzo za Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI kwenye hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 5, 2018. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Atashasta Nditiye, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya HUAWEI nchini, Frank Zhou na  Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Tuzo Mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI, Emmanuel  Chaula wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika sherehe za kukabidhi Tuzo hizo kwenye hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 5, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokabidhi Tuzo za Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI kwenye hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 5, 2018.
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Viongozi wa Kitaifa na Kimataifa wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI baada ya kuwakabidhi tuzo za ushindi washindi hao kwenye hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke (wapili kulia) na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipotoka kwenye ukumbi wa hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam baada ya kutoa Tuzo kwa washindi wa Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI, Desemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/waziri-mkuu-majaliwa-akabidhi-tuzo-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO ZA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment