Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper

Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper
kiungo : Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper

soma pia


Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper




Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tigo Simon Karikari (wanne kulia) na Meneja wa Uber Tanzania Alfred Msemo (wa tatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Tigo na Uber muda mfupi baada ya kuzindua promosheni itayowawezesha wateja wa Tigo wanaotumia Uber pamoja nabaadhi ya washindi wa promosheni ya Jigiftishe kupanda helkopta siku ya Ijumaa na kufurahia mandhari ya Dar es Salaam wakiwa angani.


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tigo Simon Karikari (kushoto) , akipeana mkono wa pongezi na Meneja wa Uber Tanzania Alfred Msemo, muda mfupi baada ya kuzindua promosheni ambayo itawawezesha wateja wa Tigo wanaotumia Uber pamoja nabaadhi ya washindi wa promosheni ya Jigiftishe kupanda helkopta siku ya Ijumaa na kufurahia mandhari ya Dar es Salaam wakiwa angani.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tigo Simon Karikari ( kulia) akibadilishana mawazo na Meneja wa Uber Tanzania Alfred Msemo (wa pili kulia) na Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo Hussein Sayed muda mfupi kabla ya uzinduzi wa promosheni ambayo itawawezesha wateja wa Tigo wanaotumia Uber pamoja nabaadhi ya washindi wa promosheni ya Jigiftishe kupanda helkopta siku ya Ijumaa na kufurahia mandhari ya Dar es Salaam wakiwa angani


Hivyo makala Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper

yaani makala yote Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wateja-wa-tigo-kuvinjari-na-chopper.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wateja wa Tigo kuvinjari na Chopper"

Post a Comment