Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo

Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo
kiungo : Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo

soma pia


Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo



YAMETIMIA! Hatimaye warembo kutoka nchi kadhaa wanaowania taji la Miss Journalism World 2018, ambalo litafanyika hapa nchini Ijumaa ya Desemba 14, mwaka huu wamewasili.

Warembo hao waliwasili nchini jana kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), huku wachache waliobaki wakitarajiwa kuwasili leo. Wengi wa warembo hao walitamba kufanya kweli katika shindano hilo, huku waandaaji wakisema kila kitu kmekamilika. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika jijini Arusha, katika ukumbi wa Kimataifa wa Aim Mall, huku waandaaji wakisema yatakuwa ya aina yake.

Akizungumza na waandishji wa habari jana, mratibu wa shindano hilo, Samwel Chazi, alisema warembo 16 wanatarajia kuwasili kesho mchana wakipitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya mpambano huo unaosubiriwa kwa hamu. Mmoja wa warembo hao kutoka China, Chen Sitong, alisema ana uhakika mkubwa wa kushinda, kwani amejiandaa. Mratibu wa shindano hilo, Sam Chazi, aliwataja warembo hao na nchi wanazotoka zikiwa kwenye mabano kuwa ni Pauline Murati (Ufaransa), Nina Yetvushenko (Ukraine), Linda Plaude (Latvia), Fatima Kahametova (Urusi) na Zainab Mkuwu (Malawi).

Wengine ni Wioletta Tupko (Poland) na Noelia Ovejo (Hispania), Juliana Nare (Zimbabwe), Arlette Akimana (Burundi) na Chen Sitong (China). Wapo Roseline Ogunyale (Nigeria), Gisele Umwiza (Rwanda), Cassandre Joseph (Haiti), Wendy Omanga (Kenya) na mwenyeji wao Witness Kavumo (Tanzania). “Kila kitu kimekamilika, hili ni shindano la kimataifa nab ado nafasi za kudhamini zipo, hii pia ni fursa kubwa ya kuitangaza Tanzania katika sekta ya utalii,” alisema Chazi. Alitaja viingilio katika shindano hilo ni Sh 100,000 kwa viti vya hadhi ya juu (VVIP), Sh 50,000 kwa viti maalumu (VIP) na viti vya kawaida Sh 30,000

“Tumeshusha viingilio ili kuwapa fursa Watanzania wapate kushuhudia warembo hawa wa dunia pale Aim Mall kwa mara ya kwanza,” alisema Chazi.

Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Miss Journalism World wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni mratibu wa shindano hilo, Sam Chazi (mwenye fulana) nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), walipowasili nchini jana. .


Hivyo makala Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo

yaani makala yote Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/washiriki-miss-journalism-world-watua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Washiriki Miss Journalism World Watua Kwa Tambo"

Post a Comment