title : WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU WAENDELEA NA SAFARI
kiungo : WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU WAENDELEA NA SAFARI
WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU WAENDELEA NA SAFARI
Anaandika Dixon Busagaga kutoka Mlima Kilimanjaro.
Siku ya kwanza ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 57 ya Uhuru ilivyo anza na kumalizikia kituo cha kwanza cha Mandara.
Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali ,George Waitara ndiye anaongoza wa kundi la watu 52 kupanda mlima Kilimanjaro wakiwemo Maafisa wa jeshi la Wananchi wakiongozwa na Mnadhimu wa jeshi Mstaafu.Luteni Jenerali ,James Mwakibolwa.
Wengine wanaopanda ni kundi la waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari,Maofisa kutoka Shirika la Hifadhi za Taiga (TANAPA) ,Maofisa kutoka urafiki kati ya Tanzania na China,Waadhiri kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam pamoja na Maofisa kutoka taasisi ya Mkapa.
Safari kwa wapandaji hao inaendelea ambapo watapunzika kituo cha Horombo kabla ya kuelekea kituo cha Kibo tayari kuelekea kilele cha Uhuru.
Hivyo makala WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU WAENDELEA NA SAFARI
yaani makala yote WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU WAENDELEA NA SAFARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU WAENDELEA NA SAFARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/waliopanda-mlima-kilimanjaro-kwa-ajili.html
0 Response to "WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU WAENDELEA NA SAFARI"
Post a Comment