title : WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR
kiungo : WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR
WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla kulia akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
-Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
Mkuu wa Msafara Katibu Mkuu Wizara ya Afya ya Sierra Leone David Banya akizungumza kuhusiana na safari yao ya kuja Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
Mkurugenzi Uendeshaji na Utumishi Wizara ya Afya Ramadhan Khamis Juma akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na ziara ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika nnje ya ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR
yaani makala yote WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wafanyakazi-wa-wizara-ya-afya-sierra.html
0 Response to "WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR"
Post a Comment