title : UKIMLEA VIZURI MTOTO, ATAKULIPA UKUBWANI : MBUNGE JANETH MASABURI
kiungo : UKIMLEA VIZURI MTOTO, ATAKULIPA UKUBWANI : MBUNGE JANETH MASABURI
UKIMLEA VIZURI MTOTO, ATAKULIPA UKUBWANI : MBUNGE JANETH MASABURI
Mbunge Mhe. Janeth Masaburi, akigawa vyeti kwa watoto waliohitimu darasa la awali katika shule ya Msingi na awali St. Anthony of Padua Segerea katika mahafali ya 15,ya shule hiyo.
(Picha na John Luhende)
(Picha na John Luhende)
Na . John Luhende
Mwambawahabari
Wazazi na walezi wametakiwa kuwalea watoto wao katika maadili mema ,kwa kuwapatia elimu bora na kufuatilia maendeleo yao, kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwaandalia msingi mzuri wa masomo ya juu ,na maisha yao ya baadaye.
Hayo yamesemwa na Mbunge wa kuteuliwa na Rais Mhe. Janeth Masaburialipokwa mgenirasmi katika Mahafali ya 15 ya shule ya msingi na awali ya saint Anthony wa Paduo iliyoko chini ya kanisa Cathoric Roho mtakatifu Segerea na kuwa kumbusha wazazi kuwa nao karibu ili wasiige tabia mbaya.
Aidha Mama Masaburi amewataka wazazi hao kuitunza amani na kuiombea nchi iliamani iliyopo iendelee kudumu , huku akiwa kumbusha wazazi kutowaamini wageni wanaowatembelea kwa kuwaacha kulala na watoto wao maana kwa kufanya hivyo watoto wengi wametendewa matendo mapovu.
Kwaupande wake mkuu wa shule hiyo Padre Josephat Mbaga ameiomba serikali kushirikiana na sekta binafsi na taasisi za dini katika kuendeleza elimu nchini na kuwakumbusha wazazi kuwalinda watoto na athali za utaenda wazi.
Nao wahitimu wa darasa la awali wakiwasilisha lisala yao wameshukuru walimu na wazi wao kwa kuwapia elimu na kusemakuwa hiyo ni haki yao ya msingi.
Hivyo makala UKIMLEA VIZURI MTOTO, ATAKULIPA UKUBWANI : MBUNGE JANETH MASABURI
yaani makala yote UKIMLEA VIZURI MTOTO, ATAKULIPA UKUBWANI : MBUNGE JANETH MASABURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UKIMLEA VIZURI MTOTO, ATAKULIPA UKUBWANI : MBUNGE JANETH MASABURI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/ukimlea-vizuri-mtoto-atakulipa-ukubwani.html
0 Response to "UKIMLEA VIZURI MTOTO, ATAKULIPA UKUBWANI : MBUNGE JANETH MASABURI"
Post a Comment