UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI

UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI
kiungo : UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI

soma pia


UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI

Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara hiyo kwenye Mji wa Kiserikali katika eneo la Ihumwa jijini Dodoma. Ujenzi wa Ofisi hizo zinatarajiwa kumalizika ifikapo mwezi mosi mwakani. 
Mkandarasi Mkuu wa Ujenzi wa Ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akielezea maendeleo ya ujenzi huo kwa Wakuu wa Idara na Vitengo walitembelea eneo hilo 
Juu na Chini sehemu ya Wakuu wa Idara na Vitengo wakimsikiliza kwa makini Mkandarasi Mkuu alipokuwa akiwaelezea maendeleo ya ujenzi huo. 
Juu na Chini Wakuu wa Idara na Vitengo wakijionea maendeleo ya ujenzi 



Hivyo makala UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI

yaani makala yote UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/ujenzi-wa-ofisi-ya-wizara-ya-mambo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJENZI WA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE, IHUMWA, DODOMA WASHIKA KASI"

Post a Comment