TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA

TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA
kiungo : TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA

soma pia


TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA

Manaibu Mawaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wamefanya ziara ya kutembelea na kukagua kiwanja kilichotolewa kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Wizara hiyo ambapo Serikali imetoa shilingi bilioni moja kwa kila Wizara na kuelekeza kuwa ifikapo mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka huu Wizara zote ziwe zina majengo yake ya ofisi kwenye mji wa Serikali uliopo Ihumwa mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa akiambatana na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akiwa na Katibu Mkuu wa Mawasiliano Mhandisi Dkt. Maria Sasabo na wataalamu wa Wizara hiyo wametembelea na kukagua eneo lenye ukubwa wa ekari 6.3 ambalo limetengwa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano lililopo Ihumwa mkoani Dodoma ambalo litagharimu jumla ya shilingi bilioni 1.120 na litajengwa na Vikosi vya Ujenzi, tawi la Dar es Salaam.
Kwandikwa amesema kuwa Serikali imetupa dhamana kubwa ya kuwa wakandarasi na kusimamia majengo ya Wizara zote, sisi kama Wizara tujenge vizuri kweli kweli ili tuwe mfano wa kuigwa na Wizara nyingine na tusimamie wakandarasi wengine wa JKT, NHC ambao wamepewa jukumu la kujenga ofisi za Wizara nyingine kwa kuwa sisi ndio wenye dhamana ya kusimamia wakandarasi wote nchini kama lilivyo agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa kassimu Majaliwa. Ameongeza kuwa tuko tayari kukesha na kukesha ili kuhakikisha kuwa tunafanya kazi usiku na mchana.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kulia) na Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (wa pili kulia) wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Mawasiliano Mhandisi Dkt. Maria Sasabo (hayupo pichani) kuhusu eneo linalojengwa ofisi ya Wizara kwenye mji wa Serikali, Ihumwa, Dodoma.
Katibu Mkuu Mawasiliano, Mhandisi Dkt. Maria Sasabo (wa kwanza kulia) akifafanua  jambo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) wakati wa ziara ya kukagua eneo linalojengwa ofisi ya Wizara hiyo kwenye mji wa Serikali Ihumwa, Dodoma.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa (wa tatu kushoto)  wakisikiliza taarifa kutoka kwa Mkurugenzi wa Barabara Wizarani Mhandisi Hapiness Mgalula kuhusu mipango ya ujenzi wa ofisi ya Wizara hiyo kwenye mji wa Serikali Ihumwa, Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (wa kwanza kulia) na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kulia) wakitembea kukagua eneo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Wizara hiyo kwenye mji wa Serikali Ihumwa, Dodoma.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA

yaani makala yote TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/tusimamie-wakandarasi-wanaojenga-mji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA"

Post a Comment