TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA

TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA
kiungo : TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA

soma pia


TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeanzisha Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania kwa lengo la kuwasaidia wakulima wapate mitaji ili waongeze tija.

Pia amewataka wakuu wa wilaya za Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro wahahakikishe wanawahamasisha wananchi katika maeneo yao kuchangamkia fursa ya kilimo cha miwa.Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni (Ijumaa, Desemba 7, 2018) alipotembelea shama la miwa Mkulazi na MbIgiri mkoani Morogoro alipokuwa njiani kwenda jijini Dodoma.

Alisema lengo la kuanzishwa shamba la mwa la Mkulazi ni katika jitihada za Serikali za kuhakikisha mahitaji ya sukari nchini yanafikikia katika kiwango kinachohitajika.Waziri Mkuu alisema Serikali imepanga kuzalisha sukari itakayotosheleza mahitaji na njia pekee ni kuboresha kilimo cha miwa, kujenga viwanda vitakavyozalisha sukari ya kutosha.

Alisema shamba hilo linaendeshwa kwa ubia kati ya NSSF na Jeshi la Magereza, hivyo, aliiagiza Menejimenti mpya ya Mkulazi kuhakikisha shamba hilo linasimamiwa kikamilifu.Waziri Mkuu pia, alimuagiza Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike apeleke wataalamu wengi wa kilimo katika shamba hilo ili wasaidie kusimamia kitaalamu.

“Nataka shamba hili lisimamiwe kitaalamu, uzalishaji uwe wa kitaalamu na liwe mfano na mashamba mengine, tusishindwe na watu binafsi,” alisema.Kuhusu suala la maji hususan kipindi cha mvua ambayo huaribu shamba, Waziri Mkuu aliwataka watafute namna nzuri ya kuyahifadhi ili wayatumie kipindi cha kiangazi.


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia)  wakati alipowasili kwenye shamba la miwa la Mkulazi na Mbigiri mkoani Morogoro,
PMO_1450
          Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotembalea shamba la miwa la Mkulazi na Mbigiri mkoani Morogoro, Desemba 7, 2018. Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stevene Kebwe.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>




Hivyo makala TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA

yaani makala yote TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/tumeanzisha-benki-ya-kilimo-ili-kutoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUMEANZISHA BENKI YA KILIMO ILI KUTOA MITAJI KWA WAKULIMA-MAJALIWA"

Post a Comment