TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA"

TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA" - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA", tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA"
kiungo : TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA"

soma pia


TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA"


NA K-VIS BLOG
SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) limeanza operesheni ya na kuwanasa wachepusha umemeteja kadhaa eneo la Kinondoni Kaskazini.

Operesheni hiyo imeanza leo Desemba 17, 2018 ambapo wateja kadhaa wamebainika kufanya vitendo hivyo vya kuchepusha umeme ili usipite kwenye mita kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa matumizi yake na hivyo kuliibia Shirika.

Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mara baada ya ukaguzi huo wa kushtukiza, Kaimu Meneja wa TANESCO anayeshughulikia wateja wakubwa, Mhandisi Frederick Njavike, alisema sio tu wateja binafsi wanaofanya hujuma hizo, lakiini pia taasisi za umma likiwemo shirika moja la umma (jina linahifadhiwa).

Mhandisi Njavike alisema kwa kawaida kila mwisho wa mwaka Shirika hupanga siku za kufanya ukaguzi wa kushtukiza ili kuangalkia sehemu gani TANESCO inapoteza mapato “Tumekuta kuna miundombinu ya TANESCO imechezewa na mbaya zaidi ni kwamba hata taasisi za umma zinashiriki vitendo hivyo, wito wetu tunaomba taasisi zote za serikali kujaribu kupitia miundombinu yote ya umeme na vile vile kuangalia watu waliowapangisha kwenye vitegauchumi vyao.” Alisema. Alisema TANESCO ni shirika la umma hivyo amewaomba wateja na wasio wateja kutoa taarifa kwa wale wote wanaochezea miundombinu kwani watakuwa wamesaidia shirika lao kuokoa fedha kutokana na wizi huo.

Wataalamu wa TANESCO wakichunguza moja ya vifaa vilivyohujumiwa ili kufanya wizi wa umeme huko Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Kaimu Meneja wa TANESCO anayeshughulikia wateja wakubwa, Mhandisi Frederick Njavike (kulia), akizunhumza jambo na Afisa Uhusiano wa TANESCO, Bi. Samia Chande, wakati wa operesheni hiyo.

 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA"

yaani makala yote TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA" mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/tanesco-yaanza-operesheni-ya-kuwanasa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TANESCO YAANZA OPERESHENI YA KUWANASA "WACHEPUSHA" UMEME, WATU KADHAA "WADAKWA""

Post a Comment