TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019

TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019
kiungo : TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019

soma pia


TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Richard Mayongela, ameahidi kufanya Maboresho makubwa katika Miundombinu ya Viwanja vya Ndege Tanzania na katika kuhamasisha kasi ya utendaji ya wafanyakazi katika Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania.

Hayo ameyazungumza mbele ya Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe katika mkutano na waandishi wa habari baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu katika jengo la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).

Awali Waziri Kamwelwe alianzia ziara yake Katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe na kubaini kwamba njia ya kuruka na kutua ndege imejegwa chini ya kiwango na mkandarasi lakini pia alipotua JNIA alibaini pia baadhi ya changamoto.

Kufuatia hatua hiyo Waziri Kamwelwe ametoa maagizo kwa TAA kwamba kuanzia Januari mwakani kuwe na mabadiliko katika namna ya utendaji.
“Nawaomba ndugu zangu kuanzia Januari mwakani mbadilike na kama mtu hata badilika basi tutamtoa. Malalamiko ya watu mimi nayapokea na ninayafanyia kazi, kwa maana hiyo ni vyema pia muyafanyie kazi”, alisema Mhandisi Kamwelwe.  
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Richard Mayongela akimweleza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (kulia), changamoto zinazoikabili Mamlaka hiyo, wakati alipotembelea kukagua miundombinu mbalimbali kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).

2-min
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na Menejimenti na Waandishi wa Habari baada ya kufanya ziara ya kukagua miundombinu ya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw. Richard Mayongela.
3-min
Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (kulia) jana akizungumza na Wafanyakazi wa Kampuni ya inayotoa huduma kwa abiria na mizigo ya Swissport Tanzania, Bi. Sarah Mlawa (kushoto) na Fliora Temba, alipokuwa akikagua miundombinu ya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
4-min
Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (kulia) akimsikiliza Msimamizi Kitengo cha Mitambo, Bw. Gregory Kosamu (wa pili kushoto) aliyekuwa akielezea mifumo ya Kiyoyozi ya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Watatu kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Roichard Mayongela na kushoto ni Kaimu Meneja Matengenezo na Huduma za Kiufundi, Bi. Diana Munubi.



Hivyo makala TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019

yaani makala yote TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/taa-yaahidi-kuboresha-huduma-kuanzia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAA YAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KUANZIA JANUARI 2019"

Post a Comment