title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Wafanyakazi na Vyama Washiriki na Watendaji Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Wafanyakazi na Vyama Washiriki na Watendaji Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Wafanyakazi na Vyama Washiriki na Watendaji Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipoongea na viongoz wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama na viongoz wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii wakiwa wameshikana mikono kwa furaha huku wakiimba wimbo wa hamasa wa mshikamao wa wafanyakazi wa "Solidarity Forever" baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam
Viongoz wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii wakiwa wameshikana mikono kwa furaha huku wakiimba wimbo wa hamasa wa mshikamao wa wafanyakazi wa "Solidarity Forever" baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam
Viongoz wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii wakiwa wameshikana mikono kwa furaha huku wakiimba wimbo wa hamasa wa mshikamao wa wafanyakazi wa "Solidarity Forever" baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama na viongozi wengine waandamizi katika picha ya pamoja na viongoz wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii wakiwa wameshikana mikono kwa furaha huku wakiimba wimbo wa hamasa wa mshikamao wa wafanyakazi wa "Solidarity Forever" baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Desemba 28, 2018
PICHA NA IKULU
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Wafanyakazi na Vyama Washiriki na Watendaji Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Wafanyakazi na Vyama Washiriki na Watendaji Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Wafanyakazi na Vyama Washiriki na Watendaji Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_28.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Wafanyakazi na Vyama Washiriki na Watendaji Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii."
Post a Comment